Natumaini Hujambo
Mzozo mkubwa Unaenda kutokea kwenye mitandao ya kijamii na kuonyesha kulenda sitafahamu kwa wananchi wa Tanzania juu ya Kuahidi kuleta Mabehewa ya kisasa ya Treni ya Umeme na hatimae kuonekana katika muonekano ya Mabehewa ya kizamani zaidi
Hii imepelekea Watu kua na maswali mingi ambayo wanajiuliza kuhusu Raisi wa Awamu ya Tano ambae kwa sasa ni marehemu Dr John Magufuli ambae pia ndie aliekua mwasisi wa mradi huo wa Treni ya umeme ambayo imeanzia Dar es salaam hadi morogoro kwasasa
Mange Tumemnukuu mange kimambi katika posti yake hivi karibuni
Tulichoahidiwa (juu) v/s tulicholetewa (chini). Ndugu yangu Rashid Chilumba anauliza hili "karunguyeye la afutatu" ndio litakwenda kilomita 240 kwa saa? Yani litoke Dar mpaka Moro in one hour? Hivi tupo serious kweli?
Chilumba yupo Ujerumani na mabehewa kama haya ya TRC yapo kwenye nyumba za makumbusho (museums). Watu wanaenda kuangalia mabehewa yaliyotumika kabla Petro hajamkana Yesu. Lakini Huku kwetu tunaona ndio unyama mwaisa
. Wanasiasa acheni kutuona ma.... Leteni mabehewa ya kisasa kama yanavyoonekana juu. Ondoeni hizi tetenasi
hilo ni povu la mange.
Je wewe unaona ni sawa tuachie comment yako hapoo


Comments
Post a Comment